Создатели
ИСПОЛНИТЕЛИ
DJ Inno
Исполнитель
Beka Flavour
Исполнитель
МУЗЫКА И СЛОВА
Beka Flavour
Автор песен
Bakari Katuti
Автор песен
Слова
Introduction.
Mmh ooh Mm Mm mmh
Verse one,
Aah baby aste aste,
Usiongeze kipimo apo mwake mwake.
Mmh aah kama kihindi cheza rote rote,
Tumwagiane makopa mpenzi kama yote aaah.
Mwezako akili zinaenda far away far away,
Tukiwa wawili baby mimi na wee.
Dunia nzima hakuna kama wewe,
Ni akili zangu wala sio ndele.
Je t’aime telment mon amour mon amour,
Je t’aime telment mon amour mon amour.
Chorus
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Verse two
Hahaha tucheze compa compa tucheze compa compa
Tucheze compa
From Tanzania to toulouse dj Inno
Hahahaa .
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Me nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
Nawe nawe nawe
(Me nawe nawe nawe)
Tucheze compa copa
Tucheze compa compa
Tucheze kompa
(Me nawe nawe nawe)
Tucheze compa copa
Tucheze compa compa
Tucheze kompa
Written by: Bakari Katuti

