Слова
Wagwan mamasita
Chris Kaiga ndo jina
Mutoriah hunivutia akidai support ya wing man na
Beshte yako bado akiskiziwa mah
Mi na wee tunaeza juana majina na
I’ve been looking at you for the longest time
Na mawazo how to make you mine
I don’t know much but
You’re the kind of girl
A little crazy
You’re the kind of girl
Who\'s a little freaky
You’re the kind of girl
Kind of girl I’m taking home tonight
And I’m the kind of guy
You’ve been avoiding
I’m the kind of guy
Leo mchokozi
I’m the kind of guy
Kind of guy you’re dreaming of tonight
So
Usiniringie nipatie
Hakuna haja ya ku argue
Usiniringie nipatie
You don’t have an early morning come through
Usiniringie nipatie
I hope kwanza leo huna curfew
Usiniringie nipatie
Nipatie nipatie
Toa madoa doa ukimaliza kuringa
Utaona nakutosha poa kaa toja umepima
The more nabonga the more unabambika
nakubeba na mistari hizi lines ni ma pick up but
Kaa mathematics iyo figure imenichanganisha
Ni kaa exam sijasomea joh siwezi pita
Na sura yako imekubali kaa msee anaitika
So mrembo ikiweza ningedai joh ku keep in touch
Baridi imezidi hu mwezi
I can\'t control it siwezi
Work has been so crazy
And I know you feel the same
So
Usiniringie nipatie
Hakuna haja ya ku argue
Usiniringie nipatie
You don’t have an early morning come through
Usiniringie nipatie
Kwanza leo huna curfew
Usiniringie nipatie
Nipatie nipatie
Written by: Abiathar Gichuhi, Chris Kaiga, David Muanzi, Mutoria Mwaura