Music Video

Music Video

Lyrics

jeee.
ni nani atakee nitengaa na upendo wakoo eeeh eeh yesuuu, 2
aaaahakuna chakunitenga na upendo wako yesu.
aaahakuna chakunitenga na upendo wako yesuu.
wala wenye mamlaka wala wenye vyeo.(hawatanitengaaaa)2
wala yalio juu wala yalio chini hayatanitenga na upendo wakoo .
wala yaliyopo wala yatakayo kujaaa hayata nitenga na upendo wakoo yeesuu
Written by: John Lisu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...