Lyrics

Nipe moyo safi, niondolee watiaji
Umenivisha taji, ukaniweka kando ya maji
We nena, we nena nitasikia, we sema we sema nitasikia
Wewe ndio ulisema, kamwe hutochelewa, na kwa yote umenifunza
Nikumbushe neno lako (Nisife moyo)
Na unionyeshe wema wako (Nisife moyo)
Mikosi haikosi, na siku za majonzi
Jionyeshee uwezo wako (Nisife moyo)
Moyo wowo, moyo wowo, moyo wowo
Nipee understanding, kwenye siku za kiangazai
Hii muziki ndio kazi, so wacha nikuimbie daddy
We nena we nena nitasikia, we sema we sema nitasikia
Wewe ulisema, kamwe hutochelewa, na kwa yote umenifunza
Nikumbushe neno lako (Nisife moyo)
Na unionyeshe wema wako (Nisife moyo)
Mikosi haikosi, na siku za majonzi
Jionyeshee uwezo wako (Nisife moyo)
Nikumbushe neno lako (Nisife moyo)
Na unionyeshe wema wako (Nisife moyo)
Mikosi haikosi, na siku za majonzi
Jionyeshee uwezo wako (Nisife moyo)
I'm high on your love, yes I'm high on your love
So high on your love, yes I'm high on your love
I'm high on your love, yes I'm high on your love
So high on your love, yes I'm high on your love
Written by: Benson Mutua, Fidel Shammah, STEPHEN GITUAMBA
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...