Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Omary Ally
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Wakisema tutaachana ongeza nipenda zaidi ya jana
Wakitamani tuuzunike tufanye sherehe
Baby nipe tena kama jana
Wanatamani yanibubujike
[Verse 2]
Ukintenda kiutani utani utaniua eeh
Mi juu yako nshatamba sana ntaambia nini watu
Weh ndo faraja maishani usiniue eeh
Milele kufa kuzikana nishachora tattoo
[Verse 3]
Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeh
Ntaificha wapi sura utanitia doa
Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh
Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
[Chorus]
Ya uchungu
Ya uchungu
Ya uchungu
Ya uchungu
[Verse 4]
Achana na mapaka shume wataponza uchomoe eeh
Wasije wakakufunza unikomoe eeh
Wala hawatokuwa na maana lengo penzi walibomoe eeh
Lazizi weeh
Basi fanya usinibiboe eeh
[Verse 5]
Maana moyo wangu utaumia utaumiaaa aah
Afu nafsi yangu itajutia itajutiaa
Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeh
Ntaificha wapi sura utanitia doa
[Verse 6]
Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeh
Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
[Chorus]
Ya uchungu
Ukiondoka ukiniacha mwenzako ntaumiaa
Ya uchungu
Litanilemea litaniuma sana
Ya uchungu
Maradhi ya mapenzi nnayo yanaumiza
Ya uchungu
Mwenzako aah eeh eehh
[Outro]
Mwenzako napenda, napenda vibaya
Ukiniacha nitaumia, ukiondoka ntaumia
Itaniumaa, itaniuma
Written by: Omary Ally

