Lyrics

Ay, yo, Motif, turn me up on them headphones, bro Whaddup? (Yes bana) (Yes bana) (Yes bana) Uh Yes bana, yes bana Yes bana, yes bana Yes bana, yes bana Yes bana, yes bana Hii mwaka nimejam na sijali (Yes bana) I swear nimekam na makali (Yes bana) Naona mafan wana swali (Yes bana) Snitch ana-run kwa askari (Yes bana) Look mi napiga hatari (Woo) Oops, nishalipa mahari (Iyee) Dem nishapata wa ku-marry (Yes bana) Mamacita, jo, ni chupa shinda Zari (Yes bana) Mi niko na flow kali kali (Yes bana) Mi hupiga show mbali mbali (Yes bana) Mi niko na doh na magari (Yes bana) We una-hate na una soo kwa M-Shwari (Hahaha) Nitapiga collabo na Fally (Rah) Then ngoma na Dola Kabari (Omollo) Arrow Bwoy, Kan Kaka, Jua Cali (Yes bana) PlayKE, jo, na si tafadhali (Yes bana) Niaje watu wangu wa Arsenali (Yes bana) Season ni yetu msi-worry (Yes bana) Mi nishawapasha habari (Yes bana) Ule kijana hodari (Yes bana) Lazima tuishi kifahari (Yes bana) Don, nina links na Omari (Yes bana) Biz pia napiga na Passaris (Yes bana) Veve nashikisha na maarif (Yes bana) 2020 tuko key (Yes bana) Bien-Aimé na OG (Yes bana) Itabidi mumetii (Yes bana) Juu sisi ndio committee (Yes bana) And they got nothing on we Jogoo wa shamba anawika mjini (Yes bana) Manoti, si mashilingi (Yes bana) Kuna mashore kwa wingi Marijuana 'pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa Marijuana pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa Buda, si hu-ball ka Lukaku (Yes bana) Mtaa, mi hu-chill na mafyatu (Yes bana) Gangster, Timber ndio kiatu (Yes bana) Tunapiga Jinja na Shaku (Yes bana) Niko na mangoma za power (Woo) Wanauliza, "Mbona madawa?" (Woo) Vile nimeshona visawa (Iyee) Fly ka niko na mabawa (Haa!) Mi ni ras, jo, ni dredi tu sina (What?) Na nishaikuwa thegi Masimba (Hahaha) Najua mapedi na jina (Yes bana) Either way, hamwezi kunishinda (Yes bana) Ukikuja East, mi Kamanda (Yes bana) Try kunidiss pia ni blunder (Yes bana) Form ni mazishi na matanga Na mi sina beef na Ohanga (Sipendi) Ohanga hunitaki kwa nini? (Yes bana) Mbona usifanye traki na mimi? (Yes bana) Tutop hizi chart za mjini (Yes bana) After that you will be happy, amini (Yes bana) Sitaki interview za gazeti (Nope) Maswali za ufala hazileti (Nope) Mi huomba ka Ndingi wa Nzeki (Woo) GOAT ka Ronaldo na Messi (Brr) Nani mwingine ka mimi? (Hakuna) Mafuta napaka Marini (Ay) Gut shinda Rosa na Timmy (Omollo) Mi hu-rap kama Hova, na nyinyi? (Ay) Shinski collabo hatufanyi? (Yes bana) Tushike from Dago to Carni (Yes bana) Intabothagwa semanyi (Yes bana) Usi-try kuni-show haiwezekani (Yes bana) Huddah simu hashiki (Yes bana) Anadhani mi na-try kumpiga miti (Yes bana) Nina wife, jo, sipendi hizo kiki (Yes bana) I'm done with this shit, jo, Oriti (Yes bana) Papa Jones 2020 tuko key (Yes bana) Bien-Aimé na OG (Yes bana) Itabidi mmetii (Yes bana) Juu sisi ndio committee (Yes bana) And they got nothing on we Jogoo wa shamba anawika mjini Manoti, si mashilingi Kuna mashore kwa wingi Marijuana pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa (Yes bana) Marijuana pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa (Yes bana) 2020 tuko key (Yes bana) Bien-Aimé na OG (Yes bana) Itabidi mmetii (Yes bana) Juu sisi ndio committee (Yes bana) And they got nothing on we (Yes bana) Jogoo wa shamba anawika mjini (Yes bana) Manoti, si mashilingi (Yes bana) Kuna mashore kwa wingi Marijuana pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa (Yes bana) Marijuana pon di corner (Yes bana) Mbogi mzima inachoma (Yes bana) Inatupandisha chopper (Yes bana) In this city, si ndio Hoppa (Yes bana)
Writer(s): Morris Kobia Lyria Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out