Lyrics

[Verse 1]
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
Hapana Mwokozi kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Verse 2]
Yeye anayesifa ni Yesu
Yu pekee, yu pekee
Ndiye aliye mnyenyekevu
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Verse 3]
Yeu pamoja nasi daima
Yu pekee, yu pekee
Kwa usiku aleta salama
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Verse 4]
Kulinda Yesu ni mwaminifu
Yu pekee, yu pekee
Atawakubali wahalifu
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Verse 5]
Alipelekwa pale mwokozi
Yu pekee, yu pekee
Anatutayarishia enzi
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Verse 6]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, yu pekee
[Chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki
Written by: Elizabeth Nyambura
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...