album cover
Chanzo (Live)
109,902
World
Chanzo (Live) was released on March 19, 2021 by Samyon Studio as a part of the album Chanzo (Live) - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
01:55 - 02:00
Chanzo (Live) was discovered most frequently at around 1 minutes and 55 seconds into the song during the past week
00:00
01:00
01:20
01:30
01:40
01:55
02:10
02:15
02:25
02:35
02:45
03:20
03:40
03:50
04:30
04:35
04:40
05:05
08:45
00:00
09:42

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Samuel Yonah
Samuel Yonah
Producer

Lyrics

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kupendwa na kukataliwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua udhaifu na kuwa na afya
Katika yote wewe bado Mungu
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Nakuabudu, nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu, nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua, wewe ni chanzo
Nakuabudu, nakuabudu, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu, nakuabudu, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu, eh Yesu-Yesu, wewe ni chanzo cha uzima wangu
Nakuinua, nakuinua, wewe ni chanzo, nakuabudu
Nakuabudu, nakuabudu, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, haleluya wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, haleluya wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, haleluya wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, haleluya wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, wewe ni chanzo cha uhai wangu
Haleluya, ooh ooh wewe ni chanzo cha uzima wangu
Written by: Rehema Simfukwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...