Credits
PERFORMING ARTISTS
Kuky
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Earnest Ogutu
Composer
Salima Muigai
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Earnest Ogutu
Mastering Engineer
Lyrics
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Mumeningoja ju naserve disaster
Mbesha cia ihenya ndio mimi natafta
Sidai retire chini maji kama Victor Wanyama
Niite maji kwa makaa ivo ndio beat huzimanga
Fahamu na uamini ukileta beef namanga
Coast to coast kihabib mimi bado namanga
Leo nasteam huku kitchen ninakuja na masters
Huu mtindo sibahatishi usidhani ni sadfa
Usidhani ni Sadfa
Imani ya Raila mi najua naenda Canaan
Tuko serious hatucheki unadhani unawatch mshamba
Uko Juu utapata kama nyoka ya shaba
Under pressure usinitest nina joto ya flask
Hizi actions hautamatch ata ukirehearse
Nimefunga hizi verses kwenye jela na bars
Nacheza chess chezeni checkers na mambao za draft
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Leo natawala ka Kabaka na thao
Wengi wenu wamekuja uku ndani na drought
Buda! hawa mahustler ni wangori kwa ground
Chunga! usitake sema ulikulanga foul
Fahamu na uamini ukileta beef namanga
Coast to coast kihabib mimi bado namanga
Leo nasteam huku kitchen ninakuja na masters
Huu mtindo sibahatishi usidhani ni sadfa
Usidhani ni Sadfa
Imani ya Raila mi najua naenda Canaan
Tuko serious hatucheki unadhani unawatch mshamba
Uko Juu utapata kama nyoka ya shaba
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare
Freeze freeze uku ndani nikurisky
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mbona nilalishe life bado sijadishi?
Bidii ni ya sugu utadhani mimi mwizi
Mi mi mi mi mi mi sijali
Chachisha muchizi nikatuko tu madhare
Ile speed nasonga utanipata tu harare
Pesa akilini mi najali tu salare…...
Written by: Earnest Ogutu, Salima Muigai