Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
TheOnlyRosa
TheOnlyRosa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredrick Wang'ombe
Fredrick Wang'ombe
Songwriter
Rosalie Akinyi
Rosalie Akinyi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dillie
Dillie
Producer

Lyrics

Nasimama uchi kwa kioo, nashangaa mbona bado hujacwom
Nacheki manduthi hapa kwa window, ama leo nikuje nikutoe kwa bar
Nashindanga nikiwaza sana lately, kwanza tangu nikupate gate B
I wonder vile weh huwanga friendly, ni nani anakupa raha baby?
Shida yako bado huwa madem, shida yako bado you never change
Shida yako bado huwa madem, like I ain't enough like we ain't in love
Nakutumia picha bila tsho, unasema bado weh hujaipata
Nimekaa kwa giza sai bila form, ishafika saa sita na hauko kwa hii kitanda
Nashindanga nikiwaza sana lately, kwanza tangu nikupate gate B
I wonder vile weh huwanga friendly, ni nani anakupa raha baby?
Shida yako bado huwa madem, shida yako bado you never change
Shida yako bado huwa madem, like I ain't enough like we ain't in love
Unatafuta nini huko nje na mimi, nakungoja hapa
Tunakuanga wawili unajifanya ni siri, na watu washakutangaza
Shida yako bado huwa madem, shida yako bado you never change
Shida yako bado huwa madem, like I ain't enough like we ain't in love
Nasimama uchi kwa kioo, nashangaa mbona bado hujacwom
Written by: Fredrick Wang'ombe, Rosalie Akinyi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...