Credits

PERFORMING ARTISTS
Mzee Yusuph
Mzee Yusuph
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yusuf Mwinyi
Yusuf Mwinyi
Songwriter

Lyrics

NIBEBE MGONGONI
INTR
ALFARAASH ×3
NISAHAULISHE ZANZIBAR KWA KUNIPA KACHUMBARI
NA CHACHANDU YA SUKARI NNAKUJUA HODARI
Chorus
NATAKA UNIBEBE MGONGONI
NA KISHA UNILAZE KIFUANI
VERSE 1
HAMU NI HAMU TU HAMU YANGU MGONGO WAKO
TAMU NI TAMU TU TAMU YANGU KIFUA CHAKO
NIPE VITAM VISOISHA HAMU NIPATE RAHA ZA DUNIA
NIPE VITAM NA MASHAMSHAM VILE UTAVYOJISIKIA
NIPE VILE VYA KANGA MOKO KANGA MOKO MOKO MOKO
NA MADIRA KUNASIA KUNASIA KUNASIA
NIPE VILE VYA KITASHA VYA KIZUUNGU NDEMBE NDEMBE
UNITIE MSHAWASHA MOYO WANGU UKUPENDE
VERSE 2
USIWAJALI WATAOSEMA
MANENO YA KINAFIKI
WAMBIE NAGUSWA MPAKA NAHEMA HADHI YANGU HAWAFIKI
NIPE RAHA ZAKO ZINILEWESHE
ZOTE TAMU ZAKO UNIKOGESHE
NIPE TAM JUU TAM NIPE TAMU MPAKA NIPAGAWE.
WANONUNA NAWANUNE NA WANUNE MPK WAUGUWE
EEEH EEEH EEEH
SUB CHORUS
AAYUNI WANGU NI WEWE
HABIBTY WANGU NI WEWE
MPENZI WANGU NI WEWE
AYUNI WANGU NI WEWE
KATIKA KATIKA KATIKA
MPENZI WANGU NI WEWE
WA ROHO YANGU NI WEWE
AYA ZUNGUSHA ZUNGUSHA
UNATAKA DAFU UNATAKA CHUNGWA
Written by: Yusuf Mwinyi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...