Top Songs By Barnaba
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Vocals
Barnaba
Performer
Lyrics
This is Barnaba Boy Classic
Africa princess (ah-ah) Go get you back to the loveless baby, Mopao
You and me for real (Samuel Mou) eeh
Eeh-eh
Woh nah nah nah (oh-na-na-na-na) London
Penzi langu alirudi, alirudi lanukia kumpenda sina budi
Nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi
Hatuogopi tan-tarira zao, maneno mchajao
Wanafanya maneno baby sie tufanye matendo
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka
Penzi tamu neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
Penzi tamu neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
Naaah aiyaa ah-ah
Uoh-uoh-uoh (princess malkia wangu ebu nisamee tell me now)
Oh papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata
Kukupenda wewe sina shaka mhh
Kwenye akili yangu ni wewe peke'ako umenikaa kwengine roho inakataa!
Oh! Moyo umekuami mana huniishi akilini
Sijui umenipa nini mmhh
Au umen'tupia kajini ndo mana umeni-win!
Mana hunishi akiliniii (Aah tell them my love)
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!
Penzi tamu (Aaaahh) neno penzi kwangu tamu (babe)
Neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
Penzi tamu neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
Penzi tamu eno penzi kwangu tamu (neno penzi kwangu tamu)
Neno penzi kwangu tamu (tamu tamu)
Jama (babe) mapenzi matamu (Ahe-ah)
Penzi tamu neno penzi kwangu tamu (tamuuu)
Neno penzi kwangu tamu (tamuuu!)
Jama mapenzi matamu
This is Barnaba Boy Classic
Go get you back to the loveless baby
Kamix Lizer
You and me for real
Writer(s): Barnaba Classic, Nandy African Princess
Lyrics powered by www.musixmatch.com