Lyrics

(Nna nna nna na na na na) Hmyeeeeyh eeeah (Nna nna nna na na) Heeey Ni mengi Yaliyosemwa juu yangu Na ni wengi hiih waliosema mbele yangu Hawajui ulikonitoa aah Hawajuii wasingelisema Kwamba sitafika kule Nitaishia hapa hapa Sitasogea kule eeh Nitabaki hapa hapa Walionicheka mdomo wamefunga Walionibeza imebaki historia Umenibadilisha baba (Aaaahy) Umeniheshimisha Daddy ooh Ukaja wewe mwenye nguvu Ukapigana vita mbele ya adui zangu Nami leo mi ni ushuhuda Ushuhuda halisi wa matendo yako Nami leo (Ni ushuhuda halisi) (Wa matendo yako Mungu) Ni ushuhuda halisi Wanadamu wana maneno (Semeni) Ila kwako Mungu unalo NENO Wanadamu wana maneno (Semeni) Ila kwako Mungu una vitendo (Aaah) Ona wanavoshangaa hawajui Bwana umefanya Maana wakikumbuka nyuma huwakujua nini ulipanga Mi sisemi we useme Vita vyangu upigane Sijawahi ona mwenye haki wako umemuacha ahaay Wala watoto wote wa kizazi chake kuhangaika aaah Mmh Ukaja wewe mwenye nguvu Ukapigana vita mbele ya adui zangu Nami leo mi ni ushuhuda Ushuhuda halisi wa matendo yako Nami leo ooho (Ni ushuhuda halisi) (Wa matendo yako Mungu) Ni ushuhuda halisi Wanadamu wana maneno (Semeni) Ila kwako Mungu unalo NENO hoouoh Wanadamu wana maneno (Semeni) Ila kwako Mungu una vitendo (Aaaah) (Semeni)
Writer(s): Asheri Wilbard Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out