Credits
PERFORMING ARTISTS
RAY UFUNGUO
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mark Miller
Songwriter
Lyrics
Ooooh, Oooooh, Oooooh Ooooh
TAZAMA PENDO LA MUNGU WETU KWELI LA AJABU, AMETULINDA KWA MWAKA MZIMA HILO NI PENDO KUU.
TULIANZA MWAKA TUKIWA NAO, NA LEO HAWAPO UMETUCHAGUA TULIO HAPA HILO NI PENDO KUU
NI BARAKA ZA MWAKA MPYA, ULIZOTUJALIA MWENYEZI MWENYE HURU, HILO NI PENDO KUU
Ooooh, Oooooh, Oooooh Ooooh
TULIWEZA KUVUNA, ULITUNEEMESHA MUNGU, WEWE NI MWEMA, ASANTE SANA,
MIDOMO YETU ITAIMBA KUKUSHUKURU, TUMEUONA MWAKA MPYA ASANTE MWENYEZI
TUNAPOUANZA MWAKA HUU, USITUACHE MWENYEZI BARIKI KAZI ZA MIKONO YETU TULIONJE PENDO LAKO
Ooooh, Oooooh, Oooooh Ooooh
TWAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA IWE KWENU NYOTE
BARAKA TELE ZA MUNGU WETU ZIWE JUU YENU
TWAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA IWE KWENU NYOTE
BARAKA TELE ZA MUNGU WETU ZIWE JUU YENU
MILELE YOTE!
Written by: Mark Miller

