album cover
Wanadamu
3
Alternative
Wanadamu was released on September 8, 2023 by One Music Plus as a part of the album Wanadamu - Single
album cover
Release DateSeptember 8, 2023
LabelOne Music Plus
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nice one
Nice one
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nice one
Nice one
Songwriter

Lyrics

Nana nana nana na nana nana
The nice one
Binadamu wanauwa
Binadamu wanakera
Binaadamu wana kasirisha
wanakasirisha aah
Unapambana we upate pesa...
Kuna binadamu anakasirika...
Anatamani ata kukukatisha ...
Ataridhika usipofanikisha..
Atakufelisha..
Yupo tayari hata kukuroga..
Aingie gharama wala ye hajali..
Mafanikio kwako yani ye hataki...
Binadamu wanauwa
Binadamu wanakera
Binaadamu yani huwa wanakasirisha
Wana kasirisha aah
Zama za sasa bora ufiche mambo yako...
Waweke mbali wasijue mishe zako..
Yani wasije kukuelewa
Watakuuwa
Chorus
Enyi wanadamu mnataka nini
Kwangu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnashida gani
Nami
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnataka nini
Kwangu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnashida gani
Nami
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Talah lah lah lah lah..
Tururu Tara lah lah lah lah...
Tururu Tara lah lah lah lah...
Tururu Tara lah lah lah lah..
Tururu...
Hunaga shida na mtu..
Na hujaiba cha mtu...
Unaishi maisha unataka...
Ila binadam watakusaka na wakufate
*Popote ulipo
Hawana dogo
*watakufanyia vya ovyo*
Chuki zao
*ndo zinawatuma ivyo
Na tunaishi nao
*tu ki commando
Binadamu wanauwa
Binadamu wanakera
Binaadamu yani huwa wanakasirisha
Wana kasirisha aah
Zama za sasa bora ufiche mambo yako...
Waweke mbali wasijue mishe zako..
Yani wasije kukuelewa
Watakuuwa
Enyi wanadamu mnataka nini
Kwangu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnashida gani
Nami
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnataka nini
Kwangu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu mnashida gani
Nami
Enyi wanadamu
Enyi wanadamu
Written by: Nice one
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...