Lyrics
Sun V on the beat
Nkwela boy
Mr Nobody
Ooohh imani, inanirudisha nyuma, hapo zamani, walinihasa wazee
Nipate mwandani, mwenye upendo, huruma hata gizani, ni nuru nisipotee
Nataka timiza lengo, nafsi inanidai
Natafuta kila engo, usingo haunifai
Nakutana na warembo, yani kizaizai
Wenye shepu kama tembo, huko nyuma wallah
Oooh basi moyo
Usipagawe na pesa
Oooh basi moyo
Fanya chaguo sahihi
Oooh basi moyo
Usipagawe na rangi
Oooh basi moyo
Fanya chaguo sahihi
Oooh moyo
Usipagawe na shepu
Ooo moyo,
Written by: Julius mkwela, Noel Visent