Music Video

Music Video

Lyrics

oooh sir god
me unipe mpenzi mwengine
uyu wa Sasa amenishinda
maana nahisi kama Lina baby nyingine
napiga simu linaikata
eeeeeeeh Mr romantic
ooooh ooooh oooh
linaikata
ooooh ooooh oooh
linaikata
tit for tat kwa Sasa
ukisema hunitaki nafatwa
we siumenifunza kuachaaa
unalifunga penzi Kwani we basata... mmmh
alivyo niacha alidhani
akiniacha tamfata kurudiana
kumbe Ata me siachwi
ukiondoka na kacha
wendo utaliaga
oooh sir god
Miunipe mpenzi mwengine
uyu wa Sasa amenishinda
maana nahisi kama Lina baby nyingine
napiga simu linaikata
ooooh sir god ,umenisikia
Bora nibaki single nitaenjoy
sir god ,umenisikia
Bora niwe mwenyewe, kuliko niwehoi
unalipenda toto la mtu
unalipatia Kila kitu
linaondoka hauna kitu
linasepa pyeeeeh
asa ivi siwazi kitu
mapenzi yamenifunza kitu
sidanganywi na mtu , bora nitulieee
alivyo niacha alidhani
akiniacha tamfata kurudiana
kumbe Ata me siachwi
ukiondoka na kacha
wendo utaliaga
oooh sir god
me unipe mpenzi mwengine
uyu wa Sasa amenishinda
maana nahisi kama Lina baby nyingine
napiga simu linaikata
ooooh ooooh oooh linaikata
ooooh ooooh oooh linaikata
Written by: DEVID ZENO
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...