Lyrics
[Intro]
Wewe
Are you ready
[Verse 1]
To open up your mind to lose the sense of time
Leo huwezi nipata nyumbani
Leo mi silali
Tunafukuza mashetani
[Verse 2]
Nimekusoma umenisoma
Girl you’re sexing up my mind
So what we go out every corner
Make some memories tonight
Pale umeshika shika tight
Oh baby vuta vuta tai
Tonight we own the ride, yeah
[Chorus]
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
[Refrain]
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Letu vitu Namanga
[Verse 3]
Early in the morning uhh
We’re waking up the neighbours
Jana imekuwa kesha, na tulivunja meza
In the moment
[Verse 4]
We're crossing borders, we're getting closer
Ukiniguza utamu kwa kucha
Tuko kwa ukuta
Ni kama picha
Siwezi ficha
[Chorus]
Oga baby oga
Tupatane border
ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
[Refrain]
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Letu vitu Namanga
Written by: Benson Mutua Muia, Gustino Luwis, John Ogolla, Samuel Kyama Hendrick

