album cover
Sitalia
2,423
Christian & Gospel
Sitalia was released on July 10, 2024 by Neema Gospel Choir as a part of the album Sitalia - Single
album cover
Release DateJuly 10, 2024
LabelNeema Gospel Choir
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM84

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Hiki kinywa changu na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako ewe Bwana Mungu wangu
Yale umetenda kwangu, sio siri, ya moyo wangu
Bali ni ushuhuda wa wazi kwa mataifa yote
[Intro]
Acha niseme nieleze, niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli, wa maisha yangu
Acha niseme nieleze, niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli, wa maisha yangu
[Intro]
Hiki kinywa changu na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako ewe Bwana Mungu wangu
Yale umetenda kwangu, sio siri, ya moyo wangu
Bali ni ushuhuda wa wazi kwa mataifa yote
[Verse 1]
Nikihesabu mambo ni mengi, umenitendea
Hisani kubwa Bwana, umenisaidia
Milimani na mabondeni, ulinisaidia
Ahsante Bwana kwa neema ulonipatia
[Verse 2]
Nikihesabu mambo ni mengi, umenitendea
Hisani kubwa Bwana, umenifanyia
Milimani na mabondeni, ulinisaidia
Ahsante Bwana kwa neema ulonipatia
[Verse 3]
Acha niseme, nieleze, niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli wa maisha yangu
Acha niseme nieleze, niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli wa maisha yangu
[PreChorus]
Najua haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa
Najua unatengeneza njia
Pasipo na njia
[PreChorus]
Najua haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa
Najua unatengeneza njia
Pasipo na njia
[Chorus]
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
[Chorus]
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
[Bridge]
Halaluya
Haleluyaa
Heey iih, uuh yeeh
[PreChorus]
Najua haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa
Najua unatengeneza njia
Pasipo na njia
[PreChorus]
Najua haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa
Najua unatengeneza njia
Pasipo na njia
[Chorus]
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
[Chorus]
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
Sitalia, sitalia sasa yatosha
Sasa yatosha nimejazwa nguvu mpya
[Outro]
Sitalia, yatosha
Yatosha amenijaza nguvu mpya
Sitalia, yatosha
Yatosha amenijaza nguvu mpya
[Outro]
Sitalia, yatosha
Yatosha amenijaza nguvu mpya
Sitalia, yatosha
Nimenijazwa nguvu mpyaa
Written by: Neema Gospel Choir
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...