album cover
Kare (feat. Mimmo)
album cover
00:00
00:05
00:10
00:20
00:25
00:30
00:45
01:05
01:45
01:55
02:25
04:10
00:00
04:16
Past 7 Days
Kare (feat. Mimmo) was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Manze nilipatana na huyu dame
Akanishow hakuna ma MC wakali
So, nikampeleka decimal akapatana na Punit
Alafu Musyoka akanipea hii track twende kazi
[Verse 1]
Frasha, mi mkali
Nilianzanga mziki tu na Nakitare
Akajikalisha basi tu na dakitari
Si unajua Frasha nakuwaga dakitari
But mtaani, mi ni ordinary
Si wa geti kali, boss mi mnare
Ndio maana tudame tunashindanga kerere
Wanataka mpango wa kando ati niwadare
Boss, hey, nishamarry
Niko mdogo mdogo tu kwenye gari
Mmh, ha si usare
Nikisonga mbele wako pare pare
Pare pare eh, pale pale
Si tuko kwenye club tunaparty party
Parerezo yaani pare pare
Mnarusha mizuka tu pare pare
[Chorus]
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijampata mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijamwona mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
[Verse 2]
Bon'Eye jemedari, mkare
Mistari generale, kare
Generali tangu kale, kare
Kikundi serikale, yaani
Siri kali tangu kale, kare
Haijalishi kare gani, kare
Kazi zote karekare, kare
Na katika ile hali, kare
Cash and carry in a hurry, kare
Carry forward, Kari Francis, hare
Safari za mbalimbali, kare
Biashara mbarembare, kare
Hatuchoki na hii safari, kare
Sauti za kinyumbani, kare
Wekelea kwa dakitare, kare
Ya dakitare na ni kare ke
[Chorus]
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijampata mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijamwona mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
[Verse 3]
Buganya mimi nina sware
Madada kibao, wote shware
Wanaamka mbele yangu, na ni sare
Wanataka leta noma na kucheza ngware
Kwangu kuja nje kuna mbwa kare
Nyumba ndani huko pata bibi kare
Mkare, mkare, mkare na si mkale
Nimeng'ara kari kani gani toka kare
Nimechapa toto ware ware bado kare
Kama umeshindwa basi reta ture
Na uongeze ture ndio mi nikure
Kuja turerembe kure tuko rembe
Wale wako manyu wanataka rembe
Wanakarakatika kama wembe
Otwabe cheki Buganya kitambe
[Chorus]
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijampata mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijamwona mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijampata mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Maishani mwangu
Sijamwona mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Written by: Boniface Chege, Eric Musyoka, Francis Amisi, Gabriel Kagudu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...