album cover
Single
231
Afro-Beat
Single was released on August 15, 2025 by Tree Muzik as a part of the album Single - Single
album cover
Release DateAugust 15, 2025
LabelTree Muzik
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM84

Lyrics

Bada Bada
Aaaah aaaah aaaaah
Kamoyo kanadunda
Kwa huyu wangu mahabuba
Nabaki nimezubaa
Kwa mahaba anayo nipaaaaa
Ata kwenye panda shuka
Mi naye mpaka kiama Ata nikinunaaa
Anajua kunidekezaaaaa
Yani kama kupenda Marathi ya moyo
Yeye doctor napona kwa yake sindano
Na ka kupendwa nimechizi nmekosa ubongoo
Huyu hapa number moja wangu kigogo
Nasema dah dah Penzi limenifanya napagawa
Na ndo manaa aaaah
Na ndo manaa
Siko single
Mwenzenyu siko single
siko single
Mwenzenyu siko single Ooooooh
Heey !!
Nimepata love
My other half
Kwake sibanduki banduki mnaningam
Kwetu mambo ni vulaiii
Sema mambo ni vulaiii
Anguka nayo One legee
Ikikubamba si dj agothe tena
Walai mambo ni vulaiii ah!!
Mambo ni vulaiii
Juu kwake nimeganda sina budi
Boy I love you wangu pedi
Na tuwe forever Nyadundo wanaheriiii
Hah!
Nasema dah dah
Penzi limenifanya napagawa
Na ndo manaa aaaah
Na ndo manaaaah
Siko single
Mwenzenyu siko single
Siko single
Mwenzenyu siko single Ooooooh
Yaani kama kupenda Marathi ya moyo oh
Yeye doctor napona kwa yake sindano 
Siko single..
Written by: Liz Bleey
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...