album cover
Milele
424
New Age
Milele was released on May 27, 2023 by Nyasani as a part of the album Milele - Single
album cover
Release DateMay 27, 2023
LabelNyasani
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nyasani
Nyasani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nyasani
Nyasani
Songwriter, Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
GENIUS JINI X66
GENIUS JINI X66
Producer

Lyrics

Ayeyeeehh...a..a..Ayeyeehh...
Cha kwanza ni mtulivu, shepu na sura weee umejaliwa kweli maa
 Mwenzako mi naona wivu, usije niacha weee, utanitesa kweli maa
 Mapenzi yako chachandu, nipe mambo sasambuu nilewee
 Na we ndo wangu tabibu, na sioni sababu ya kukwacha wee
 Aahh Kwako nimedata( niuee ) umenikamata( niuee ) nichape fimbo unavyoweza changu kiboko
 Hakuna matata( niuee ) mambo ni swadakta, we jidekeze unavyoweza mimi ni wako, ma baby...
( Milele ) nitabaki nawewee
 ( Milele ) sitokwacha mwenyewee
 ( Milele ) shibe yangu ni wewee
 ( Milele ) nitabaki na wewee
Usije kuniacha mi utaniumiza, si unajua, nakupenda wee
 Safari ya mapenzi nimeimalizaa, kwako wee
 Kwenye shida na njaa tuvumilianee
 Mvua na jua, tushikamanee,
 Mengi ya dunia, uyapuuzee
 Nikilia pia nibembelezee
 Aahh Kwako nimedata( niuee ) umenikamata( niuee ) nichape fimbo unavyoweza changu kiboko
 Hakuna matata( niuee ) mambo ni swadakta we jidekeze unavyoweza mimi ni wako, ma baby...
( Milele ) nitabaki nawewee
 ( Milele ) sitokwacha mwenyeweee
 ( Milele ) shibe yangu ni wewee
 ( Milelee ) nitabaki naweweee
Written by: Nyasani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...