Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ngwair
Performer
Albert Mangwair
Performer
Dully Sykes
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Albert Mangwair
Songwriter
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Hamis Mohamed Mwinjuma (MwanaFa)
Lyrics
Judith Wambura Mbibo (Lady Jay Dee)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
Producer
Lyrics
Eyo ni P kwenye line
Hakuna noma Bongo records tuna-shine
Eyo ni Ngwair kwenye line
Hakuna noma Chemba squad tuna-shine
Eyo ni P kwenye line
Hakuna noma Bongo records tuna-shine
Eyo ni Ngwair kwenye line
Hakuna noma East Zou tuna-shine
Ring ring kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Hey hey
Kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Naenda kutoa simu kwenye charge
Nakuta message zisizo na idadi
Bado nyingine zinaingia mfululizo
Natoka zangu nje naamua kuachana nazo
Kurudi ghetto nakuta missed call
Tatu za Khadija na nyingine ya Nicole
Sekunde nne napokea simu ya nne
Demu wangu wa temeke anataka tuonane
Ghafla tena napokea simu ya P
Naye anataka nifike studio saa nane
Ile nakata nyingine inaita
Steve B anasema tuna interview saa sita
Ghafla tena napokea simu ya sister
Mother mgonjwa nyumbani wananiita
Mtu anabeep kucheki ni promoter
Naamua kuzima simu kwani chaji imeshakwisha
Ring ring kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Hey hey
Kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Ni ghetto langu tu linalo wachengua ma duu
Sio K’nyama tu mpaka East zou
Napata simu nyingi za maduu wa chuo kikuu
Night napokea simu nyingi za majuu
Napata simu ya sista duu simfahamu
Eti anadai anataka tuwe wapenzi
Kabla sijamjibu kwanza ninatabasamu
Hapo hapo napokea simu nyingine toka zenji
Wanadai nikafanye show alhamis
Niende mimi na P bila ku-miss
Tunaelewana nitapataje advance
Demu wangu wa Arusha ndo anapiga anani-miss
Phone book majina ni VIP
Mengi ni milupo pamoja na wasanii
Kama namba siijui basi huwa ninakosa raha
Maana najua ata kimeo nikipokea ni balaa
Ndo maana huwanapenda kuzima simu
Ila machizi wangu wote wanafahamu
Wakikuta Buzz ipo kwenye voice mail
Wanajua namba gani watanipata Celtel
Ring ring kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Hey hey
Kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Hahaaah
Yeah Ngwair
Bongo records
Vichwa vya kufa mtu habahatishi kitu mtu hapa mtaumia hahah
East Zou
Halla
Ring ring kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Hey hey
Kila saa napokea simu
Zinavyoingia kwa fujompaka napata wazimu
Ring ring na zinatoka kila sehemu
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
Written by: Albert Mangwair, Hamis Mohamed Mwinjuma (MwanaFa), Judith Wambura Mbibo (Lady Jay Dee), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)