Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Joshua Mokua
Keyboards
Joshua Wisdom
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
Onjula Praise
Songwriter
praise onjula akinyi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joshua Mokua
Producer
Shakhan music
Mixing Engineer
Lyrics
Wewe pekee ninakutukuza
Wewe pekee ninakuhimidi
Wewe peke ninakutukuza
Wewe pekee ni wa ajabu
Wewe pekee nitakutukuza
Wewe pekee nitakuhimidi
Wewe peke nitakutukuza
Wewe pekee ni wa ajabu
Wewe ni wa ajabu, ajabu
Wewe ni wa ajabu, Yesu
We ni wa ajabu, ajabu
Wewe no way ajabu, ajabu
Malaika wanasema mtakatifu
Mtakatifu ni we
Maserafi
Makerubi waziendeleza sifa zako we
Wazee ishirini na nne
Wanazivua taji zao
Mbile zako we
Ma sisi twaungana nao
Tukusema we ni wa ajabu
Ajabu, ajabu sana
Ajabu, ajabu sana
Ajabu, ajabu sana
Ajabu, ajabu sana
Ajabu
Written by: Onjula Praise, praise onjula akinyi