album cover
Success (Summer Version)
album cover
Success (Summer Version) was released on September 13, 2025 by SMART MUZIK RECORD COMPANY as a part of the album Success (Summer Version) - Single
September 13, 2025
LabelSMART MUZIK RECORD COMPANY
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mmhm
Naskia baby oil ina clean all crevices
Naona success ntaifikia bila compromise
Nafeel ka great ata before nibuy Mercedes
Nanusa zikikam what a wonderful feeling
Mi niko vibez staki hasira niko ah
Cheki design ninarap kama ah
Na nikifeel pia ntasing kwani wah
Na nikifeel ntarudia kwani wah
Wasikudanganye poverty ni state ya mind
Wasikuchoche jaba siku izi inakaa wine
Ukipata nganya ukose roho bro umejiwai
Mi nna manzi kaa sita wananiita kababa
Cheki madam ako fine
Unaanza kulook twice
Naingia kwa scene
Wanaanza kuzirai
Naingia kwa scene
Wanaanza kuthink twice
Energy safi
Utadhani niko high
Basi whine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Nina warasta kiasi sana wenye mi hutrust
Siwezi Nga Ngania punch izo ni paper
Uwaga mbaya sana tukimarch hautapenda
Anadai miaka saba iyo sahau ata na dawa
Key ya corolla kwa meza na hauna lunch
Msupa wangu amebeba ata bila bag
Magwiji wako wananijua mi uwaga fire
Kosa ganji uone ukichukuliwa madam
Cheki madam ako fine
Unaanza kulook twice
Naingia kwa scene
Wanaanza kuzirai
Naingia kwa scene
Wanaanza kuthink twice
Energy safi
Utadhani niko high
Basi whine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Mi nina real ones
Real fakes ones
Fake real ones
Na wale wanadhani wananijua
Enzi za timber supra na safari boots
Ndio time ungenzindua
Juu sai niko ontop of my game mi si Man U
Jua ukicross my lane we good bye tu
Nikikucelebrate we jua ulicome through
Ambia mokoro hii ndio hustle
Cheki madam ako fine
Unaanza kulook twice
Naingia kwa scene
Wanaanza kuzirai
Naingia kwa scene
Wanaanza kuthink twice
Energy safi
Utadhani niko high
Basi whine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Inama chini number nine
Toa mbili uone my
Nyoka pangoni ikibite
Beat wazimu inafanya ufeel divine
Written by: Joshua Njogu Mathenge
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...