album cover
Jirani
Music
Jirani was released on September 24, 2016 by Independent as a part of the album Jirani - Single
album cover
Release DateSeptember 24, 2016
LabelIndependent
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM123

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
WITNESZ KIBONGE MWEPEC
WITNESZ KIBONGE MWEPEC
Performer
Ochu Sheggy
Ochu Sheggy
Performer
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Robert Eddy Sheggy
Robert Eddy Sheggy
Composer
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Robert Eddy Sheggy
Robert Eddy Sheggy
Producer
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
WITNESS MWAIJAGA SIGBJORN
Producer

Lyrics

VERSE 1
Snura: Za saa hizi jirani waonaje na haliii
Ochu Sheggy: ahaaaa kwangu mimi nikikuona afadhali
Snura:Loh! yaani wewe, unapenda vya watu wewe, ngoja asikie mwenyewe
Ochu Sheggy: Akhakhaa nnajua unachokifua cha kuweza kuhifadhii,nnayotaka kukuambia ila uniwie radhii,so kunu nkughambie,imi nikunkunda ma iwe,njoo basi karibu na miee (jirani) kusema kweli nnachokaa kila siku kula magimbi, we mwenzangu hujachoshwa na yule mzee kitambi?
nilichompendea ni kile kile kitambi, kama mto nnalalia kwangu kuchepuka ni dhambi
CHORUS
Jirani oooh! jirani yoyoo (Jirani)
Jirani ooh! Jirani yoyoyoo(Jirani) ukiona nnakonda sababu ni weweee (Jirani)
mwenzio nnaugua dawa ni weweee (Jirani)
VERSE 2
Mzee Yussuf: hali yako jiranii, Mungu kakuumba mashaallah! hebu sema asante
Witnesz Kibonge Mwepec: Mh! Asante
Mzee Yussuf: moyo wangu una utafuna sina raha kila nnapokuona
Witnesz Kibonge Mwepec:Babu weee, tafuta panadol ka ninakutafuna utanipa nini haswaaa kikubwa sana
Mzee Yussuf: aaantakupa dodo la kizanzibari dodo
Witnesz Kibonge Mwepec: Haaaaa! nnaskia tena Zanzibari kuna boribooo oouw! (utanletea eeh)
Mzee Yussuf: Naam Bibie na kibushuti wako hayajui vizuuri chordo
Witnesz Kibonge Mwepec: why should i do that kibushuti ndo mahabuba
Mzee Yussuf:Mahabuba makabati tuu
Witnesz Kibonge Mwepec:usilete usanii kwenye jumba la sanaa,kaka kama kukonda utakonda sana, (mashara hayo) hapa kula kwa macho ukichoka nend zako,rudi kwa mkeo tulia mlee watotoo
Mzee Yussuf: kama watoto hata pakaa hata paka analeaa
CHORUS
Jirani oooh! jirani yoyoo (Jirani)
Jirani ooh! Jirani yoyoyoo(Jirani) ukiona nnakonda sababu ni weweee (Jirani)
mwenzio nnaugua dawa ni weweee (Jirani)
Written by: Mzee Yussuf, Robert Eddy Sheggy, Witness M.Sigbjorn
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...