Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nonini Mgenge2Ru
Nonini Mgenge2Ru
Performer
Nonini the Godfather
Nonini the Godfather
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hubert Nakitare
Hubert Nakitare
Composer

Lyrics

Hii ni celebration ya watu wote wale wana-live their dream Umekuwa uki-struggle through thick and thin Finally mambo yako imeanza kuenda poa Through patience na persistence tumetoboa Waafrika tumefika mahali tulikuwa tunataka Big up Obama, na huu ni Godfather Eh oneni hii mambo vile inaenda sasa Dunia nzima vile mgenge anaandika ukurasa za history bana Na ma-action na kila kitu jo mi huwanga nafanya Nani alisema hatuwezi ishi na wasanii Daily kuwa-prove wrong tunaongeza vitambi Utasimamishaje kifaru ikiwa full speed mbele Itapitia na kila kitu fungua pazia wewe Bora ujue mchezo jo kuicheza kwa uwanja Wacha hawa watangulie waende jo huko kwanza Waanze na moto kesha watoe jasho brother Kijelimo jo unaanza kuwakaribia Ona sasa vile unawapita ukiwa-smile-ia Finish line ndio hiyo iko karibu jo imekaribia Moyo inadunda taratibu inakimbia Iyo ndoto yako na iyo ndoto yangu mi naishi Kwa hivyo imba karibia celebrate na mimi Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa Una machupa kadhaa na madada kadhaa Umetoka kwa bank gari full kwa tank Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa Niko full mzuka ka MC Hammer Nahuwezi gusa hii na ma-neighbour walihama So usione vile muziki jo inaanguka Mabinti wafiti jo vile wanajirusha Sababu sista m-small ame-graduate leo campo! Nilikuwa najua haka katoi siku moja atafika hapo Brother amedungwa promotion jamu ya vungu Eh? promotion jamo ya vungu? Brother amedungwa promotion moja ya nguvu Round ile uli-apply kitambo naskia imejipa Hiyo ndai mpya ulikuwa ukitaka umeangukia Barabara imeongezwa lane nne una-switch switch tu ma-gear Najua wengi wenu mshachoka na maneno ya siasa Hawa majama huwanga wanatuzungusha ni ka tunacheza salsa Haina mambos siku yao jo itafika Lakini in the meantime celebrate kabisa Kuwa Mwafrika Kuwa Mwafrika Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa Una machupa kadhaa na madada kadhaa Umetoka kwa bank gari full kwa tank Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa KCSE watu wangu najua mmepita Playstation 3 umei-earn bila shida Na usiwe na wasiwasi ata ka exam umedunda jamaa Huwezi jua labda wee ndio the future Obama Kuna harusi noma leo nimealikwa baadaye Mtu wangu Abbass anaoa why lie Morale boy wetu huyo ametu-set-ia pace Lakini mi bado nipo nipo just in case Ulikuwa una-wonder Vuka Bongo uksuliza mtu wangu wa nguvu tu Mwana Lakini reception mambo mbaya Venye hizi drinks zina-come hawa jamaa wana ubaya Hapana tuna-make sure si ndio wa mwisho kutoka Unakuwa amani ka chuma imepigwa solder Hii ni verse ya ma-bachelor wote wale wametuacha Sijui tunawa-celebrate vile watoto kibao tunawapata Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa Una machupa kadhaa na madada kadhaa Umetoka kwa bank gari full kwa tank Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa
Writer(s): Hubert Nakitare Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out