album cover
Je Ma'ppelle Witness
10
Music
Je Ma'ppelle Witness was released on April 21, 2006 by Independent as a part of the album Khaya Khaya
album cover
Release DateApril 21, 2006
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Credits

PERFORMING ARTISTS
Witness
Witness
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Witness
Witness
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Witness M.Sigbjorn
Witness M.Sigbjorn
Producer

Lyrics

Chorus
Tuendelee na safari, bila ya MASWALI ndivyo ilivyooo akili ni Mali, usitegrmee zali weee
Verse
Nnajijua mi mzuri nnabodi nzuri, usafiri mzuri,nnanukia vizuri
Mameni kibao wananifuatilia waweze kunikamatia, wame za watu hawala zao, boyfriend zenu na waliokibao, sina haja ya kuwa nao, mi si kalaga baho, mungu anipe nini, Doonda amaguniala chawa, Huwa sinunui Vocha Huwa ninawekewa na wanaopagawa, meni akimtaka shori, chochote atatoa, sina haja ya kulala nao, bila winchi hutoa kama huyu kanipa dola yule hela,mwingine dinner ama lunch, nilisema hapana akienda si Mwisho wa kupenda, kutongozea ama kutendwa, wanaume wapo kibao na WOTE wanatoa midenda
CHORUS
Je m'appel Wtness Je suis Tanzanian
Tuendelee na safari, bila ya MASWALI ndivyo ilivyooo akili ni Mali, (Je m'appel Wtness)u usitegrmee zali weee
VERSE 2
Sivuti widi, Fegi tungi ushansoma, sipendi sifa maahauzi ya kinyengema, nimetulia kimtindo kama papama, ninapenda sana kusimama bila kuinama, ndo maana Huwa stage ninawasha noma, usivuke maji ya mto bila kupima utazama, chukua kalamu na karatasi, kama andika Mashahiri kama mi, onesha umahiri,usiwe Bashiri wa kuonesha ukali sipendi kujiharibia ndo maana ninafanya kweli
Je m'appelle Witness
Tuendelee na safari, bila ya MASWALI ndivyo ilivyooo akili ni Mali, usitegrmee zali weee (Je m'appel Wtness Je suis Tanzaniane) ×2
BRIDGE
Woiyoyo yoyoo, mama weee
Iyeiyeee woiyeiye
Woiyeleleliye
Iiyelelele woiyeiyeiye×2
Yeieyeieyeywye woiyooo woiyaiye iyee
Tuendelee na safari, bila ya MASWALI ndivyo ilivyooo akili ni Mali, usitegrmee zali weee (Je m'appel Wtness Je suis Tanzaniane) ×2
Written by: Witness
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...