Lyrics

Uko na tabia za kupendeza roho Tabasamu ya kupapasa macho Sauti yako nikiskia, pia natulia yanipunguzia hasira nazo Urembo wako ulininasa roho Siku ya kwanza kukuona kwa macho Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo And I feel you in my air when I breath I see you in my dreams when I sleep You are the one I have been waiting for, all my, life (Mmh) Deep down my heart I believe Unanifeel, nakufeel, hii ni real The one I have been waiting for all my life Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Ni wewe nachagua sisemi nao Sisemi Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndio mama yao Ni wewe nachagua sisemi Oh sisemi Oh sisemi Oh I love you baby And even though I've never been here before Somehow I know that this is how it feels to fall in love Baby you know I love you I place no one above you I need you in my life Forever and ever You will always have my heart We were meant to be together me and you-ooh Oh, me and you Hey uko sawa na, wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Ni wewe nachagua sisemi nao Sisemi Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao Wote wanakuiga we ndo mama yao Wewe nachagua sisemi Oh, sisemi Oh, sisemi
Writer(s): Nyashinski N Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out