Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Composer

Lyrics

Tutu turu tutu yeah Tiru turu tuntu tu Tuntu tuntu tuntu Tun tiriri tin tiriri Ikiwa umeamua kunitoroka Ikiwa unahisi kwamba hujisikii nami tena Na mbona imekuwa ngumu kunidokeza? Naona ni bora nilie leo badala ya kesho Kupenda usipendwe Ni kama kujitia kitanzi Nitachimba na sururu Kwa ardhi nikitafuta penzi lako Ni heri nipigwe fimbo kwa mwili Sababu nitajikuna ama nitajikanda na maji moto Maumivu ya penzi mtu hajikuni Wala hajikandi na maji, na hakuna upasuaji Kama kuna kosa nimewahi fanya (nieleze) Kama kuna jinsi tunaweza leta (mpatanishi) Na kama kuna kitendo ningeweza tenda (nieleze) Nitafanya (fanya) Nitatenda (tenda) Nitafanya (fanya) Nitatenda (tenda) Nitafanya nasema (fanya) Nitatenda (tenda) Nitafanya (fanya) Nitatenda (tenda) Kweli hukumbuki uliyoyafanya? Ni kweli unakumbuka tulipotoka? Sisemi habari zozote za kusikia Bali kwa ushahidi niliouona Msamaha mara ngapi Umeshaomba na bado? Je, ni makosa mangapi Niliyoyafumbia macho? Mpaka leo nahisi kufika kikomo Maumivu yanazidi ndani ya moyo Sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni Nikusamehe mimi mara ngapi we? Nieleze, mpenzi, mara ngapi? Unataka nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) Ungependa nikuvumilie mara ngapi? (bila mwisho) Je, wewe, nikulilie mara ngapi? (vumilia) Sitoweza (utaweza we) Nimechoka (usichoke) Nimeshindwa (usishindwe) Naondoka (usiondoke mamy) Sitoweza (tirindi ndindi...) Nimechoka (mmh mmh mh usichoke) Nimeshindwa (usishindwe) Naondoka leo Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe Ni kama kuhesabu Ni mara ngapi mtoto kaharibu nappy Usichoke, usiondoke, usilie, niko hapa kukulinda Kama kuna kosa nimewahi fanya (nieleze) Kama kuna jinsi tunaweza leta (mpatanishi) Na kama kuna kitendo ningeweza tenda (nieleze) Nitafanya (fanya) Nitatenda (tenda) Ni do do do (fanya) Nitafanya (tenda) Nitafanya (fanya) Nitatenda (tenda) Nita-do I swear (fanya) Nitafanya (tenda) Unataka nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) Ungependa nikuvumilie mara ngapi? (bila mwisho) Je, wewe, nikulilie mara ngapi? (usilie) (univumilie) Sitoweza (unaweza) Nimechoka (usichoke) Nimeshindwa (usishindwe) Naondoka (uuh uuh uuh) Sitoweza (usichoke njoo) Nimechoka (pimpi parara pimpi) Nimeshindwa (pampa para rara) Naondoka leo (para rara pampara) Usishindwe baby Nita-do-do-do do-do-do do
Writer(s): Jean-pierre Nimbona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out