Lyrics

Ooohh nana nana naaa Eeee yeee ee ee iyee Oh oh oo oo ou oo oo ou Yei eee Matimes nimekaa kwenye place nawaza nikifikiria Kitu gani nitafanya kubadilisha mawazo Itabadilisha moyo wangu wotee Itanifanya mie tofauti Kila saa nawahepaa maadui zangu Nikitaka kuwa nawee Najiweka mimi kando Kisha mi nalia wee Skiza maombi yangu Wewe wanisikizaawanipa nguvu na uwezoo Sijui nitaomba nani Bali wewe tuu Sijui nitaenda wapi Bali kwako tuu Ni wewe pekee yako Ni wewe Mungu wangu Ni wewe Yesu waaangu Matimes ninkaa nikiwaza tuu Ni nani anigadhabisha Kuna nini mawazo mengi Wanipaa uuu Kichwa yaniuma yaniuma sanaa Yaniuma yaniuma sanaa Yaniuma yaniuma sanaa Yaniua yaniuma Sasa itakuaje wee Sasa itaendaje wee Tutafanya wee tutafanyaje wee Ntakuwa nawe Sasa tutakaa nawee Tutakuwa nawee Mii nitakuwa nawee Haha hahaaa Unanipataa Aaaaaa aa aa aa aa aaoooou Brian brian mudavadi Uuuuu aaaaah Aa aa aa aa aa aa aa eeeiiiii eeii yeah Ntakaa nawee eeea Ntaishi nawee eeea Oouuu Ntakuwa nawee Ntakuwa nawee Ntakuwa nawee Mi ntaishi nawe Ntaishi nawe Ishi nawe eea Ntakaa nawee Kaa nawee Ntakaa nawewee Ntaishi nawee Ishi nawee Ouoooouu Uuuuuu Yeiiiii yea yea eii yeeeeah eii yea ei yea yeii yeeah yea yea yea yea yea yei yeaaaaaah.
Writer(s): Brian George Cadd Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out