Lyrics

Buda juu nime omoka Nikipita kwa njia ondoka (Ondoka) Daily na ball na mogoka Ju nimekafunga ka locker (Locker) Vera anaringa na planyo Iza jo nimetambua Kwamboka (Kwamboka) Bado unacheza na bano Nipate casino mi huchezaga poker (Iyee) Hii pesa imeniweka mbele Ndani ya gari so mi kadere (Kadere) Unaringa na venye uko nyuma Naeza kutuma na nisichafue Puma (Puma) Msupa anaitwa Auma Nilikuslice na nikakauma (Woo) Kumbe hupendaga chuma Alijinice, ye hufanya nanuna(Nuna) Ati Vk anapenda your swag (Swagga) Mi baby napenda hiyo nyuma (Hagga) Niko na pesa kwa bag Na zinaweza kutibu hapo mahali unaumwa (Umwa) Usiku ye hapendagi giza (yeah) Ndio maana mi hu-pullup na pizza (Huuh) Kindom kiwake Alafu mastar unanimaliza (Unanimaliza) Ju shot napiga ka chweza Buda ju nimeomoka Na fare silipagi chweza Uber ju nimeomoka (Omoka) Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka (Omoka) Na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Omoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Yeah yeah) Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey) Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige thafu uomoke Toka tupate pia sisi toko yetu Tuliacha kutrap huko kwote Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches This is win and loses Street tunahawk Tukitake Lots of risks for the bosses East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga Milingo yote za wasafi Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi Niliambiwa mi ni savage Kupanda stage na Njumu za designer Store zote nina wafuasi Last victim kwa crime Kitu waliona ni mashetani Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids Venye madem wako build these streets Memories zinanipea tease Promoter alielewa kwa sana Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka (Omoka) Na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Omoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Yeah yeah) Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Buda ju nimeomoka (Nimeomoka) Nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (Yeh yeh yeh yeh eey) Buda jo niliondoka (Ondoka) Nina shawty anadai bakora (Bakora) Skimbi kumbe ako mboka Dem aliniitia wakora Pull up kejani Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja) Buda nishashusha toja Kumbe ukichinda maball itoka, buda niliporwa Mtaani noma (Mtaani noma) Bouty ilibidi nimesoma (Soma) Vile nitalindaga boma (Boma) Hata ka mi nimekonda Mi hukula zenye zimenona (Nona) Nikipata mboka naomoka (Omoka) Huwezi nipata kwa corolla (Eey) Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey Shingo ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lucky Eey Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey Bouty siachani na jani Hata kama huwezani eey Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori) Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go Pah pah Mateso Mabeast wakora wa ghetto Shah shah Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental Ni mapepo Snitch alibitch akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka Pussy niggas wanapenda kuchocha Nakumbuka matha akienda kukopa Hii si riba nilichoka kusota Fuck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars Mi ni donga nyinyi ni marap fans Simnaona ni nini hardwork does Toka lini mimi Scar na work fuss Eey aah uuh, Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi Hamjastruggle ka dingo wa maiti Tulianza juzi nyi mlishindwaga naishit Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you I swear this rappers they know us Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up Kwa most of my brothers they locked up
Writer(s): Boutross Munene, Churchill Oganga, Emmanuel Kennedy Nyamamu, Kelvin Mbure Maina Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out