Lyrics

Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunafanya kazi Si tunafanya kazi (Weh) Safari wapi Pwani Friday jioni wazi Mimi nipe dials Unajua nakuja hewani Mnazi ndio kinywaji Manguks na ka wali Wacha iwe wazi Si tunachapa kazi Chillin in Diani shawties wako ndani Mpaka summer bunnies wanaiva ngwai Nigga acting funny kwa ni wewe nani Ati brother sister ama Nga'nga waflani (Weh) Drinks are moving mad I'm in a fucking trance Feet on quick sand Ma manzi wa kutrend Nipate Milan Mi nadishi brunch Parking ni ma benz Ati traffic ni ma Peng (Weh) Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunachapa kazi Si tunafanya kazi Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi Nipate Diani Chilling with some Honey Hiyo ni ya nani Si tunachapa kazi Tunachapa kazi Fungua macho wazi Si ni wale tuko wired than the paparazzi Why the youth ha wako hired boomers watutakii Wanadai wakiretire ndio hatuko sloppy So hakuna sorry Hustle mandatory Nipe mic na kangoma nitapiga story Bora life is in order like an inventory Na the ops watabother niki morning glory Moving green mtaani this my territory Leta shida put you sleep like a dormitory All about my roots and shoots toka preparatory Schooling hommies how to 'G cause it's necessary Later drip in a jeep swagger huwa ngori I'm the type ukinimeet tafuta lavatory (Cause I'm The Shit) Ka ni Nike to the feet sipendi fogothare Nipate na wasupa five-star sipendi ordinare Siuchapa kazi kila day ya siku Holiday Inn anytime I need to Huu mwaka I don't think I'll seem to Kila mwezi simnajua ni kitu Subscribe usipitwe na issues Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi (Eh) Si tunachapa kazi (Weh) Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunachapa kazi Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi Nipate Diani Chilling with some Honey Hiyo ni ya nani Si tunachapa kazi Kazi kazi Bado nachapa kazi Mlango uwazi Nipate na mali nachapa manzil Kazi ni kazi Kama hutaki hupati Maisha ni tamu so wacha udwanzi Vile na pata hupati Chilling for hommies to come through Nairobi tonight twaharibu Napata majani so come through Nicome na konyagi kaa tatu Chasing money everyday you can think i'm alive for the feeling I run through Stacking favor's every moment for hommies I built I know I can run through Holidays i'm alive I be praising the vibes never knew that I had to Finding spaces in the time I be feeling her vibe when I know she can come through Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi (Weh) Si tunachapa kazi Si tunafanya kazi Si tunafanya kazi Si tunachapa kazi Si tunachapa kazi Nipate Diani Chilling with some honey Hiyo ni ya nani Si tunachapa kazi
Writer(s): Richard Muchogu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out