Credits
PERFORMING ARTISTS
Ramsoh Latinho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramsoh Latinho
Songwriter
Lyrics
Mpende akupendae walivyio sema wahenga
Kupenda sana mwisho wake waga ujinga
Umeondoka bila kosa mami wee
Jawabu lake hujanipa mami wee
Umasikini wangu umeniponza
Ukanifanya mpaka ukanitorokaa x2
I love you boo rudi nyumbani tuu,
I need you boo rudi nyumbani tuu
Mazoea Yana tabu mami wee
Umeniacha kwenye tabu baby wee x 4
Written by: Latinho