Lyrics

Piga block, vaa miwani, funga vioo Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Tongo Records, baby) Hello, sina namba yako nani mwenzangu? Oh, kumbe wewe we sio mwenzangu Na nishafuta namba yako kwa simu yangu Kwani simu si yako? Simu si yangu Hata Moni akim-date Hudda Hudda from Nai Kwenye simu yangu nitamsave Shem Nai Wakiachana naeza funga vioo kwa Shem na hii inamanisha I'll be there morning and night for my nigga Fuck Instagram love double tap kwa middle finger Mbona ham-mention jina langu kwa beat zenu nlizopiga? Asa nafunga vioo staki tena upashkuna Halafu nafunga vyoo uende utafute pa kunya The dope rapper stand up! Wanasimama wengi Lakini Slim akienda hawasimami baby Wana si mama wengi Hawa, si mamy baby? Ahahahaha Pi-piga block hadi ndugu, haina gharama bro, hm Shangazi and you too nshakufungia vioo You used to be my boo boo now we don't talk anymore So tuendelee na ububu, let's not talk anymore Piga block, vaa miwani, funga vioo Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo We, tafuta wa kumpiga kamba usiniletee news Siskilizi views wala siangalii views Ndugu hawajui ninapoishi nina good view Nina few viewers ila ninavuka viunzi Pyuu! Nimesema ninavuka viunzi Mnatafuta leo nina hela mlikuwa wapi juzi Sijasahau mliyoyasema kipindi mwanafunzi Wakati mama anansomesha mlisema ntaloose So, funga vioo to my fucking brother No usishushe window kuna antivirus Eh? Hii mistari inanchanganya, antivirus? I'm sorry ka nimekuchana bahati mbaya Na kama kweli nimekuchana that's a bad blood Damu zetu hazijaendana you are not my dad The fact baba amefukiwa kwa udongo it makes me mad Na nikikuona I swear to God I'm gonna play blind Nilikuwa na machale kutowaonesha maisha nnayoishi Aika funga vioo tulale waambie, "Good night-y" Piga block, vaa miwani, funga vioo (Drink water then mind your business) Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Kunywa maji then mind your business) Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Ah, drink water then mind your business) Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo (Malume na Centrozone, East Zoo, baby) Cha kwanza na unfollow social media halafu kolo akinitext na blue tick Nikiskia boya kanidiss Ricky media nami page za tabloid huwa naskip Hamuezi nipa stress nshakunywa tomato juice Usishangae wana waki left group lako la harusi Funga vioo no shikamoo mi mchizi sifuati taboos Halafu nachana alphabetical slaughter kama pappoose Na tukikutana backstage, mwendo wa kigae Jeshi la mtu mmoja malume lazima ukae Haina mambo wala what's up, man? Mwendo wa kigae, sina time nakula reggae tu mangoma ya Kalikawe Uh, yeah, kuna mademu wanajifanya wana password Eti wananiita jina la kwenye passport Funga vioo ma-snitch wote walioniombea downfall Buyu lake kama mpangaji na landlord Ukipenda tia neno sio unaweka fire emoji Na sio mayenu hii ni yope kama Enosi Piga block, vaa miwani, funga vioo (Drink water then mind your business) Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Kunywa maji then mind your business) Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Ah, drink water then mind your business) Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo (Ah, kunywa maji halafu mind your business) (Tongo Records, baby)
Writer(s): Slimsal Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out