album cover
Dear Ex
4,586
Afro-Pop
Dear Ex was released on April 19, 2021 by Ziiki Media as a part of the album Dear Ex - Single
album cover
Release DateApril 19, 2021
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM92

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Intro]
Basi nifungue roho
Kwa yule wa before
Dear ex
[Verse 1]
Sitaki kurudia zamani nilikupenda sana
Ila haukuniona wa dhamani haukuniona wa maana
Sitaki kubonga mob nikurushie lawama
Ila roho yangu unaijua nilikupenda sana
Nilipokosa nisamehe ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh nilipokosea nisamehe
Ulipokosa nikusamehe na maisha yaendelea eeh
[Chorus]
Rafiki zangu wanaulizia wanaulizia
Ndugu zangu wanaulizia yule wa zamani
Haya mama anaulizia anaulizia
Majirani wanaulizia yule wa zamani
[Verse 2]
You never took your time to know me
Time to know me
You never took your time to understand
You never took your time to know me
Time to know me
Loving you is all I ever had
Natamani siku zile hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone ukiwa naye mi nawaombea
Natamani siku zile hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone ukiwa naye mi nawaombea
[Chorus]
Hata Jaguar anaulizia anaulizia
Messesi anaulizia yule wa zamani
Vinny Flava anaulizia anaulizia
Hata Diana anaulizia yule wa zamani
[Bridge]
I wanna let you know know know
Wanna let you know
Never let you go go go
Never let you go
Wanna let you know know know
Wanna let you know
Never let you go go go
Never let you go
[Chorus]
Chibu Dangote anaulizia anaulizia
Willy Paul anaulizia yule wa zamani
Kioko anaulizia anaulizia
Manager Wizz anaulizia yule wa zamani
TeddyB anaulizia Silvester anaulizia
Kwenye Beat anaulizia yule wa zamani
Jalango anaulizia Dj Moh anaulizia
Na mafans wanaulizia yule wa zamani
Vanny Boy anaulizia
Mpasho anaulizia
Ni nani atawajibia?
Mama Mueni anaulizia ha
[Outro]
Acha kutupima hii wimbo si ya dear ex hii wimbo ni ya ex
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...