album cover
Wanangu Freestyle
845
Hip-Hop/Rap
Wanangu Freestyle was released on September 2, 2021 by 3294213 Records DK as a part of the album Wanangu Freestyle - Single
album cover
Release DateSeptember 2, 2021
Label3294213 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Emmanuel Aniceth Mlamba
Emmanuel Aniceth Mlamba
Songwriter

Lyrics

One time for my crew
Ha, ha
One time for my crew aiseee
Crew begani na bendera ipepee
Na vile tuna hustle be humble
Wenye mawazo ya mgando
Watatuona kama si mabwashee
Unajua nini
Hakuna kufake ni more more hits
Na mashavu yakianza kutoka ni more more kisses
Warembo kibao wakina Momo hitz
Watadata na crew na hizi more more digits
They ask me how nitafika destination
Nikitoboa mlionitoa nitawa mention
Big Tom **** you trust the process
Ndo maana nawezaa nikawa suffer kimya nisionyeshe
Holla, hey, hey, hey
Am like Jonijo na hili bango plate number A
Sometimes ukidelay
Ujue ni mipango ya mchizi
Yakufanya makubwa na yenye pay
Na Offset nipate babe kaCard B
Kifua kikuu nakohoa mistari ina TB
Ukipiga buuh najikata mi sikupigii
Maanake sema suuh hawa machizi hawafagilii
But Teria jina langu nitaje kila saa
Nilivyo kama bia nipo kila bar
Washa zima taa, zima washa taa
Matobo kama yote sijui wapi nitatokea
Shout out kwa wanangu wa faida (wanangu wa faida)
Mambo yanakwenda kaa kawaida
Shout out kwa wanangu wa faida (wanangu wa faida)
Mambo yanakwenda kaa kawaida
Aah yeaaah mhhh
Trust me lot of shits happen
And here for sure we make it happen
Going harder my **** to get something
Ukijijua ni pesa they gonna tell you nothing
Navyoshuka kama utani
Ganny on the mix Mabibo weka begani
Sijapata jina la mnyama kule mbugani
Hata kama kutu hawaoni kuna mpinzani (ayi)
Mambo mengine siyo safi
Etii kisa Teria umefanana na Gaddafi
Kwenye mishe kama uwezo nilivyo msafi
Nyeupe nyeupe kama vile traffic (whoo)
But Teria jina langu nitaje kila saa (kila saa)
Nilivyo kama bia nipo kila bar (kila baa)
Washa zima taa zima washa taa
Matobo kama yote sijui wapi nitatokea
Shout out kwa wanangu wa faida (wanangu wa faida)
Mambo yanakwenda kaa kawaida (one hundred)
Shout out kwa wanangu wa faida (wanangu wa faida)
Mambo yanakwenda kaa kawaida (kaa kawaida, kaa kawaida)
Yeah, hm one time for my crew
Yeah, wa wa
Hm sheshe
Biyoo hii
Yeah, I'm out
Written by: Emmanuel Aniceth Mlamba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...