album cover

Wanifuatia Nini

36,408Afro-Beat2003
album cover
Wanifuatia Nini was released on June 8, 2003 by 3856904 Records DK as a part of the album Wanifuatia Nini - Single
ReleasedJune 8, 2003
Label3856904 Records DK
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[PreChorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Chorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Verse 1]
Kama ni pendo langu nilikupa lote
Nilikujali kwa kila kitu na kukupa mahaba yote
Sikudhani ungenidharau na kuniletea wengine
Sikudhani ungenigeuka na kuanza kuninyanyasa wee
[Verse 2]
Pesa na magari yako yalikufanya uwe kiburi
Ulinacha ukaenda zako na kusahau utu wako
Penzi langu hukuthamini ukanacha na majonzi
Nimebadilika nini? Wanifuata mimi wa nini!
[PreChorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Chorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Verse 3]
Maji yakishamwagika hayazoleki
Na kama nyumba unatafuta imeshapata mpangaji
Nala vyangu na mpenzi wangu ya nini kunisumbua eh
Dharau zako na mikogo yako sitaki kuvisikia eh
[Verse 4]
Nimekupa nafasi yako ukachezea muda wako
Sasa starehe zangu wazionea wivu wa nini?
Kubembeleza hakuishi, watuma meseji za mapenzi
Nimebadilika nini?! Wanifuata mimi wa nini?!
[PreChorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Chorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Bridge]
Wani wani-wani wani-wani wani-wanifuata wa nini?
Wani wani-wani wani-wani wani-wanifuata wa nini?
[Chorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
[Chorus]
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini?
Written by: Rehema Chalamila

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...