Credits

PERFORMING ARTISTS
Calvin Baraka
Calvin Baraka
Saxophone
COMPOSITION & LYRICS
Benson Mhando
Benson Mhando
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Benson Mhando
Benson Mhando
Producer

Lyrics

Mama siku moja mimi
Nitakua traffic police
Nijenge nyumba kule nyali kwa beach
Nisomeshe mpaka nephew na niece
Wakiuliza sema farming business
Yani kazi ngumu na sweat
Wave bye to the struggling days
Getting by on a minimum wage
When I'm filthy rich
Filthy rich
When I'm filthy rich
Filthy rich
Mpenzi usichoke na me
One day nitakua Nabii
Nivae suti kama wale MPs
Wanitunze kama vile Rais
Naahidi nitatia bidii
Mpaka unione kwenye TV
Pole pole nitajenga CV
Mahoteli kila turn CBD
Hizi shida zita turn TBT
Nitatoa hii mahari na ease
Niku marry kule nyali kwa beach
Tuishi ka walami baby
When I'm filthy rich
Filthy rich
When I'm filthy rich
Filthy rich
Kuna vile kunaenda
Naeza dundia ka Tender
Nikushikie ka Honda
Kila kitu unapenda
Najua tunadeni kwa vibanda
Lakini hizi ndege karibuni tutapanda
Watoto watasoma kule Banda
Wakipiga tumebadilisha number
Number
Number
I know there's plenty men out there
But wakupendi
Si wa kweli kama mimi
And what you doing isn't fair
My mpezi sema kweli
Wanihisi
I know there's plenty men out there
But wakupendi
Si wa kweli kama mimi
And what you doing isn't fair
My mpezi sema kweli
Wanihisi
Written by: Benson Mhando
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...