Lyrics

Yea, yea, yea, yea Whoa-whoa, whoa (You are now listening to the sounds of the ghost) Yea, ayy, yea, ayy Okay, ayy, closer, no distance You like me, your mister Whine it, calypso, me like it, sadicto Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda (yeah, yeah) Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka (yeah-yeah) ye' ni mrembo lakini ye' ni- I told my wife wacha ni-misbehave Vile hiyo makali inani-instigate We' unadai bank na mi si CBK I broke your heart, and I'll do it again So I went on a date with this big mama All this pressure, I had to discover Boy flani ako "Ayy, najua huyu madam" Is he being jealous, or am I being stubborn? Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni- Kausunda, kauzimia kwa club ni mjinga Ashaiosha TV, radio na woofer Jamani, walai mi namchuja Mi namchuja, ah Nishaimpata kwa roadi nikamkuta Nikampeleka kejani nikaisunda Nikamtolea bakora kimchuda Ni makelele kelele nitambugda Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni Dem ni mrembo like mmmh Don't do me like that, don't misbehave Come closer I got the juice 'Cause you be running, running, running Niko gej, niko maji Nikiwa maji nakuwanga mtiaji Viatu zangu usikanyage ni safi Niko madree natingisha manati Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni- ABH Sound, baby
Writer(s): Delvin Savara Mudigi, Wesley Ouma Casmir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out