Music Video

Lava Lava - Tajiri (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Lyrics

Nilikupigia simu Chaji ikakata Nikakutilia timu mjengoni sijakupata Akili ikaruka wazimu Nitakulaje bata Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata Hallo hallo hallo hallo Hallo hallo hallo hallo Ehn love bite Afadhali nimekuona Afadhali tumeonana Afadhali nimekuona Afadhali tumeonana Nilikaa kinyonge sana Tajiri Huna adui,tajiri Wacha niagize pombe nyama Tajiri Huna adui,tajiri Na bebe ziletee savana Tajiri Huna adui,tajiri Tajiri atalipa bwana Tajiri Huna adui,tajiri Nilikupigia simu Chaji ikakata Nikakutilia timu mjengoni sijakupata Akili ikaruka wazimu Nitakulaje bata Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata Hallo hallo hallo hallo Hallo hallo hallo hallo Hwanza hunaga mapozi(hauna mbambamba) Wala hunaga mamluki(hauna mbambamba) Haki yamungu ukifa uozi(hauna mbambamba) Naukioza unuki tulikaa kinyonge sana Tajiri Huna adui,tajiri Wacha niagize pombe nyama Tajiri Huna adui,tajiri Wanangu wazimike jama Tajiri Huna adui, tajiri Tajiri atalipa bwana Tajiri Huna adui, tajiri Asa mwaga noti mwaga (mwaga) Tajiri mwaga (mwaga) Asa mwaga noti mwaga (mwaga) Tajiri mwaga (mwaga) Eh mwaga noti mwaga (mwaga) Nasema mwaga (mwaga) Eh eh mwaga (mwaga) Jamani mwaga (mwaga)
Writer(s): 0, Lugendo Zubery Kileo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out