Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ben Mwamba
Ben Mwamba
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndo uponi eeh
[Verse 2]
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndo uponi eeh
[Verse 3]
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikiskia omba ya sikupate
Eii Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya menzako sikia
[Chorus]
Ila yasikupate ehhh (Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Ooh kizunguzungu (Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kiziazai)
[Chorus]
Nyie mapenzi karaha (Kiziazai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Ooh kizunguzungu (Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kiziazai)
Nyie mapenzi karaha (Kiziazai)
[Verse 4]
Yanayima furaha, mmh
Yanakosasha raha, ehh
Yanayima furaha, mmh
Yanakosasha raha, mmh
[Verse 5]
Tena usiombe kupenda ulie mpenda ajue
Tena usiomba kupenda ulie mpenda ajue
Amani utakosa, karaha jamani eeh
Dunia tena chungu kufa utatamani eeh
[PreChorus]
Eii Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikiskia omba yasikupate
Eii Mungu aliumba dunia na maajabu yake ehhh
Ya mwenzako sikia
[Chorus]
Ila yasikupate (Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Ooh kizunguzungu (Kizaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Waweza gombana na ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa mbaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chugu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)
Baba na mama watake (Kizaizai)
Chakula tamu ni sumu (Kizaizai)
Mashoga sasa wanafiki (Kizaizai)
Kulala nanyi ni ngumu (Kizaizai)
Eii yanauma (Kizaizai)
Tena yanauma sanaa (Kizaizai)
Yanauma (Kizaizai)
Ooh yanauma sanaa (Kiziazai)
Eeh (Kizaizai)
Eeh (Kizaizai)
Aah (Kizaizai)
Ayoo (Kizaizai)
Hahaa (Kizaizai)
And this is kid from Tanzania (Kizaizai)
Diamond Platnumz baby (Kizaizai)
In See Records (Kizaizai)
Napoleon (Kizaizai)
Its Italy baby (Kizaizai)
Hollaa (Kizaizai)
[Outro]
Suka, suka, suka, suka
Suka, suka, suka, suka
Suka, suka, suka, suka
Suka, suka, suka, suka (Kizaizai)
Ahaa suka ajaa (Kizaizai)
Kata aga eeh (Kizaizai)
Kupu hoaa, hoaa, hoaa (Kizaizai)
Hoaa, hoaa wee (Kizaizai)
Thank you See Records, thank you
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...