album cover
shukurani
Christian
shukurani was released on December 25, 2024 by LMPC as a part of the album Shukurani - Single
album cover
Release DateDecember 25, 2024
LabelLMPC
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM82

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Elia Malik
Elia Malik
Songwriter

Lyrics

Ouuhhuh ouuhhuh ohuuhhuh Ouuhh Ouuhhuh ouuhhuh ohuuhhuh Ouuhh
Asante mungu kwa mengi Ulionifanyia
Umenichagua kati ya wengi Ukaniokoa baba
Mara nyingi umenitoa kwenye Matatizo mabayaaa mkono wako Ukanileta kwako baba
Mmmhhh
Kusema asante haitoshi
Sinaneno lakusema
Kwa huruma yako
Jesus
Umenitoa kwenye mahali mabaya
Ukanifuta machozi
Ohhhh yeahhh
Umenipa heshima heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo
Leo niwe mzima
Umenipa heshima heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo
Leo niwe mzima
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadilisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia ilio sawa
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadilisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia ilio sawa
Sawaaaaaaaaaaaaaa
Hakuna anayeweza
Kupinga chochote ulichosema
Hakuna mtu anayeweza
Kufanya kama unachokifanya
Umesema mkono wako si mdogo
Unao uwezo wa kuponya kila Mgonjwa
Nakuabudu wewe wewe
Mungu wa kweli wewe wewe
Kama kutafuta tulikuwa wengi
Hii leo ninafanya kazi nzuri
Tena walikufa wengi
Umenifanya nipate amani
Umenipa heshima heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo
Leo niwe mzima
Umenipa heshima heshima
Ambayo adui zangu wanaona
Ukanitetea mpaka leo
Leo niwe mzima
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadilisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia ilio sawa
Shukurani baba kwa ulichofanya
Uwema wako ni amani yangu
Umebadilisha maisha yangu
Uniweka kwenye njia ilio sawa
Written by: Elia Malik
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...