album cover

Yana Wenyewe

1,766Music2024
album cover
Yana Wenyewe was released on September 10, 2024 by Chamazi Music as a part of the album Yana Wenyewe - Single
ReleasedSeptember 10, 2024
LabelChamazi Music
BPM139
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

J4D sOUND
Mama wa toto
Adasco M2 M'baad
Kisa kapata penzi jipya la kwangu kaliona takataka
Nakama tatizo pesa siangesema muhuni ningempaa
Kaondoka uku ananmimba yangu vp sasa kuhusu wale watoto wangu
Kaondoka kaacha majonzi kwangu nahakujali ata icho kidogo changu
Kaondoka kabeba vyote vitu vyangu home silal nalala kwa rafik zangu
Kaondoka kabeba hadi nguo zangu Sina hali nahazima kwa rafiki zanguuu
Aaah siunajua mapenzi yanawenyewe basi nipeni pombe nilewe
Au basi tu niacheni mwenyewe daah
#VERSE
Basi kama kunakosa nyuma nilimkosea
LakinI Hapana akuna niliyo mfanyia
Au labda ujana tu ndo unamsumbuwa
Sawa adange ila akumbuke tu familia
Panya na mende ndani wananizomea
Haitoshi inauma majiranI wakiulizia
Vp mama watoto atumuoni hata akifagia
Nashindwa sema nabaki najinamia (Kwa yote)
Kwayote aliyo yafanya kwangu ikawa kama sinema
Majonzi majonzi yaliutawala moyo wangu
Ndomana siwezi kumbuka nyuma
Ingawa ingawa umeondoka na wanangu minakuombea dua njema
Popote popote uiskiapo sauti yangu usisite kusema
Kisa kapata penz jipya la kwangu kaliona taka taka
Na kama tatizo pesa siangesema muhuni ningempaa
#OUTRO
Munta deeeee ahhh
Mtu M'baad
Written by: Adamu Salumu Mashumu, Mutawaly hamdani saidi

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...