音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Emachichi
Emachichi
表演者
作曲和作词
Emachichi
Emachichi
词曲作者

歌词

[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Verse 1]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Verse 2]
Marafiki wako wote wanaweza kukuacha
Ndugu zako na jamii wanaweza kukukana
Bali Bwana Yesu ni mlinzi wako wa milelee
Upendo wake, neema yake zitakufariji
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Verse 3]
Majaribu magonjwa, yanaweza kukujia
Matatizo mbalimbali, yanaweza kukujia
Bali Bwana Yesu ni faraja yako ya milele
Upendo wake na neema yake zitakufariji
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Verse 4]
Ndugu usimtumaini binadamu yeyote
Wala usitegemee ahadi zake zote
Msaada wako watoka juu mbinguni
Fimbo yake na gongo yake zitakufariji
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
[Chorus]
Mwambie Yesu, mwambie Yesu
Kwamba lile utakalo akusaidie
Kwamba lile utakalo akupumzishee
Written by: Emachichi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...