音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Pillars of Faith
Pillars of Faith
表演者
作曲和作词
Pillars of Faith Ministers
Pillars of Faith Ministers
词曲作者

歌词

[Verse 1]
Sisi wanamsingi wa imani
Tumekusanyika kama kikundi
Nia yetu kuu ni kutangaza injili
Kwa kila lugha na jamaa
Wale wote watakao amini wabatizwe kwa maji mengi
[Verse 2]

[Verse 3]
Sisi tu familia moja
Cha kututenganisha hakuna
Kazi ya Bwana lazima tumalize
(Taji) Latungoja mbinguni (Mwisho wa saa) Fari yetu
(Nasema taji) Latungoja mbinguni (Mwisho wa saa) Fari yetu
[Chorus]

(Nasema taji) latungoja mbinguni (Mwisho wa saa) Fari yetu
[Verse 4]
Sote tuwasafiri wa mbinguni, twahitaji kuhimizana
Sote nikilemewa huku nishike mkono, tusonge mbele safari ni ngumu
Kinitabakari nitaanguka hukumu yangu ikawa juu yako
Ni furaha yangu tupate uzima sisi sote tukafurahi
[Verse 5]

Written by: Pillars of Faith Ministers
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...