歌词

Sijui nikuite hodari, vile umeniweza na penzi lako, nimelewa chakari
Kwangu kumewaka jua kalii, mwaga maji nikate kiu
Ukinipepea, ooh yeah, nipepee
Mbasi leo tukosane, (Lakini kesho tusiachane)
Hunny kimapenzi tuchizishane, (Mimi na wewe hadi tuzikane)
So let me be your Love Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakucheza poker, (Ooh yeah), aii, (Ayayaya)
Let me be your Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakutenda baby, (Ooh yeah), ooh, (Ayayaya)
Nataka uwe wangu, wewe ndio kila kitu changu
Sing dis to you beiby whine pon say song now, nakupenda, will never do you wrong
Wewe ndio mwenyewe, wewe ndio mwenyewe, whine up your body pretty beiby, you me whine, me nuh care what they say
Yah decree de care about no joker, feel your love girl, coulda fight over, express my feelings to you, 'cause its real and true, me nuh drunk girl, me really quite sober
You bust my brain man sober, I will be your shield gal me nuh die soldier
Give me the matter my girl whine closer, jiggle up your body then you bend it tight over
So let me be your Love Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakucheza poker, (Ooh yeah), aii, (Ayayaya)
Let me be your Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakutenda baby, (Ooh yeah), ooh, (Ayayaya)
Tell me beiby who is gonna die for you?
In your life who is gonna catch grenade for you?
Ai ni nani kama sio mimi (Yeah-yeah), ni nani kama sio mimi-mimi (For you)
Ni nani kama sio mimi (Nani), ni nani kama sio mimi-mimi (Oohh)
Basi leo tukosane (Whoo), lakini kesho tusiachane
Kimapenzi tuchizishane, mimi na wewe hadi tuzikane
Beiby basi leo tukosane, lakini kesho tusiachane
Hunny kimapenzi tuchizishane, mimi na wewe hadi tuzikane
So let me be your Love Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakucheza poker, (Ooh yeah), aii, (Ayayaya)
Let me be your Doctor, (Ooh yeah), nakupenda sio chocha, (Ooh yeah), sitakutenda baby, (Ooh yeah), ooh, (Ayayaya)
Written by: Arrow Bwoy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...