制作

出演艺人
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
声乐
作曲和作词
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
作曲
制作和工程
Salmin "S2Kizzy" Rashid
Salmin "S2Kizzy" Rashid
制作人

歌词

Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe, nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo, moyo unanikosea
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Umeniadhibu chozi tiba yangu (We haya)
Umeziharibu zote hisia zangu (Basi sawa)
Moyo mbona umenitoa chambo?
Moyo we hunanga chanjo
Moyo umenifanya pango
Moyo huishiwi mipango
Waongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheati nao ni wa kwangu
Walevi wote nao ni wa kwangu
Mbona unajitesa?
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha
Moyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo, moyo unanikosea
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture, moyo?)
We moyo 'asa mbona unanitorture? (Mbona unanitorture?)
We moyo, 'asa mbona unanitorture? (We moyo)
Written by: Salmin Kasimu Maengo, Vanessa Mdee
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...