歌词
[Verse 1]
Helo mamaa
Leo nmepata kisimu cha kuazimaa
Nkaona hata angalau nijue hali yako oo
Vipi upo salama
Nia na dhumuni nijue kama umzimaa
Hadi nmesahau shikamoo heshima yakoo
[Verse 2]
Ingawa bado mambo magumu
Ila bado sijachokaa napambanaa
Ulinisihi nakudhurumu
Ni makosa kwa rabana
[PreChorus]
Wasikudanganye na picha za mitandao
Ukahisi napochoa
We niombee kila kukicha mi ni mwanao
Ipo siku ntantoboa
Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
Tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we eeh
[Chorus]
Mamaa I love you
I say I love you mama (Mama I love you)
Nahangaika ili keshoo nkutunze (Mama I love you)
I love you, I love (Aahh mama I love you)
Hihihi I love you mama
[Verse 3]
Miezi tisa tumboni kwa mateke mi mtundu ulinbeba
Ukajitwesha mgongoni upweke na uchungu ule wa Leba
Nikisema nikusifie sifa zako siwezi maliza
Ninacho tamani we usikie kwa ajili yako na bangaizaaa
[Verse 4]
Mama sio mchana sio usiku kukicha nakwenda resii
Ila naamini ipo siku Mola atanfanyia wepesi
[PreChorus]
Chunga, wasikudanganye na picha za mitandao ukahisi napochoa
We niombee kila kukicha mi ni mwanao ipo siku ntantoboa
Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
[Chorus]
Mamaa I love you
I say I love you mama (Aahh mama I love you)
Nahangaika ili keshoo nkutunze (Mama I love you)
I love you, I love (Mama I love you)
Hihihi I love you mama
Written by: Rajabu Abdukahal Ibrahim, Rajabu Salehe