音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Okello Max
Okello Max
表演者
BENSOUL
BENSOUL
表演者
Amlyoto
Amlyoto
表演者
作曲和作词
Amlyoto
Amlyoto
词曲作者
julius mcrymboh
julius mcrymboh
词曲作者
Benson Mutua
Benson Mutua
词曲作者
制作和工程
So Fresh
So Fresh
制作人
Trevor Magak
Trevor Magak
混音工程师

歌词

[Verse 1]
Sheri kimula mimi nakufa
Ani nya jomoko mami itoyo fuondena
Ahero sana pilirundo ga wiya
Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha
[Verse 2]
To dong adengo ti kaayudo konyruok na
Ani weauru monda asunge jabatha
Opong’ to muol atoti unanimalisa
Niisi na wewe milele mpaka kufa
[Verse 3]
Unisalie watoto mama
Nakuahidi hutokosa
Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa
Aseko yie in koro ateri moso anyuola
Mamanaa
[Chorus]
Sheri iih
Mama aah
Baby iih
Nakufa, nakufa, nakufa
Nakufa, nakufa, nakufa
Sheri iih
Mama aah
Baby iih
Nakufa, nakufa, nakufa
Nakufa, nakufa, nakufa
[Verse 4]
Mama Sheri
Usiniache nitakufa eeh (Uutaniua)
Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh
Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama
Lolo tupendane mpaka kufa eeh
[Verse 5]
Ooh Sheri mapenzi ya leo naogopa (Ogopa nairobi)
Kwanza warembo wa ngolopa (Wa stiletto)
Wameweka mitego kwenye mabar
Uuh Loord
[Verse 6]
Ila ukinitega sitakataa
Nitakopa ee, nitalima ee mama
Nitachanga, nitaiba
Oh, oh, oh, oh tupendane mpaka kufa
[Chorus]
Sheri iih
Mama aah
Baby iih
Nakufa, nakufa, nakufa
Nakufa, nakufa, nakufa
Sheri iih
Mama aah
Baby iih
Nakufa, nakufa, nakufa
Nakufa, nakufa, nakufa
[Verse 7]
Baby nishaachana na form za Ashura baby
Hata Nafula namba yake nimefuta
Naku assure aah, eeh
[Verse 8]
Usiku silali naona sura yako mrembo
Daily natamani kwako ningekua visible
Nateswa na rada kila nikikuona na huyo jamaa
Kweli mamaa unanifaa waniua
How do I live without you baby
Nenya ube wanje
[Verse 9]
Nipeleke Eregi kwa mama
Nimelweleze na baba
Girl I need you in my life
Naona wivu when I see you holding hands
Kama mwezi usiku
Baby you know you’re the one
[Chorus]
Sheri (Baby you're the one)
Mama (Without you I can die)
Baby (Baby yeeah)
[Outro]
Nakufa, nakufa, nakufa (Baby yeeah)
Nakufa, nakufa, nakufa
Sheri iih
Mama aah
Baby iih
Nakufa, nakufa, nakufa
Nakufa, nakufa, nakufa
Written by: Benson Mutua, Brian Amlyoto, julius mcrymboh
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...